AVOCC STREET BARAKUDA TABATA DAR ES SALAAM
Mvua zilikuwa zinaendelea kunyesha ndani ya jiji hili Kama ilivyo kawaida huwa halitabiriki kabisa linapokuja suala la kushusha mvua, watu wachache walikuwa wanaonekana kuendelea na biashara zao kwenye kuutafuta mkate wa kila siku kwali ulikiwa ni usiku mzito lakini ilikuwa ni tofauti kwa mwanaume mmoja ambaye muda huo licha ya kuwa na mvua kali ambazo zlilileta …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments