Kilomita mbili kutoka lilipo handaki alilofungiwa Hamza, kulikuwa na bar au nyumba inayouza mvinyo, ambayo kwa nje kulikuwa na lanterns za mwanga zilizokuwa zimening’inizwa.
Ikiwa tayari ni usiku, angani upande wa ardhini kulikuwa na mambo yaliyokuwa yakiendelea.
Mwanamke mrefu, mwembamba, mwenye umri wa makamo, alievalia nguo za leather na koti refu kufika miguuni, akiwa na nywele ndefu nyeusi, huku pua yake akiwa amening’iniza pete, alikuwa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments