Reader Settings

SEHEMU YA 380.

Mara baada ya kuona mwanajeshi yule yupo chini akigaragara, Eliza aliona hiyo ndiyo fursa. Haraka haraka alivumilia maumivu, kisha akachukua bastora kutoka kwenye kiuno cha mwanajeshi yule na kuanza kukimbia kutoka kwenye chumba hicho huku bastora ikiwa mbele.

Alikuwa akikumbuka njia aliyokuwa amepitia wakati akiingizwa eneo hilo. Malengo yake yalikuwa wazi — alikuwa na mpango wa kwenda kwenye mlango wa …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next