Reader Settings

Haikuchukua muda mrefu, makelele mengi ya vilio yaliweza kusikika kwa kila selo za gereza hilo.
Baadhi ya masikio ya watoto hao yalikuwa yameng’atwa na wenzao, wengine pua zao zilikuwa zimeng’atwa, na wengine walikuwa na miguu iliyovunjika.

Watoto wengi na wengi zaidi waliumia. Ni wale waliokuwa na nguvu pekee, bahati na mbinu za kuishi waliosalimika.

Watu wale waliokuwa wakilisha watoto hao walijikuta wakizidi kucheka kwa nguvu. Walionekana …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next