Mr. Black, macho yake yalianza kuzunguka kwa namna ya kukagua eneo linalozunguka selo ya Sally, na macho yake yakatua kwa Hamza ambaye alikuwa amekaa kwenye kona.
“Vipi kuhusu haya madoa ya kumwagika kwa damu hapa?” aliuliza.
Watafiti wale walionekana kutokuwa na majibu na waliishia kuangalia. Ilikuwa ndiyo mara yao ya kwanza kugundua kuhusu damu hiyo.
“Mnashindwa kugundua? Kuna mtu anabadilishana chakula na Sally,” aliongea.
Watafiti …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments