Profesa Clark wakati Roma anafika aliteleza na kugonga kwenye kabati lakuhifadhia vitabu pamoja na vifaa vya kufanyia majaribio.
Roma baada ya kuingia ndani alishangaa kumkuta chini na vitabu vikiwa vimesambaa , ilionyesha alikuwa akisoma baadhi ya tafiti ambazo ziliachwa na Profesa Shelukindo.
Profesa Clark alikuwa amevalia miwani ndogo ya kusomea pamoja na gauni la kulalia , mwonekano wake na namna nywele zilivochanguka na …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments