Reader Settings

Roma mara baada ya kumwambia Diego kwamba atashughulikia kumuokoa mke wake , alisimamisha gari na kisha akaunganisha simu yake na GPS kwa kutumia Code maalumu , alifungua Aplication maalumu kwenye simu na kisha akaingiza herufi mfano wa Serial number na palepale simu ilianza kutafuta kwa kasi na ndani ya dakika kidoti cha rangi nyekundu kilionekana juu ya Ramani nje kidogo na jiji …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next