Reader Settings

Edna alikuwa kama haamini maneno ya Roma , hakuwa pia tayari kuona Roma anapoteza nguvu kwa ajili yake, ni kama aliogopa ataishi kwa kuwa na deni maisha yake yote.

“Kwahio unamaanisha utamuachia afanye kama anavyotaka?”

“Nina uhakika ninaweza kumuua kwa pigo moja tu , lakini siwezi kuhatarisha maisha yako , natamani nikusikilize lakini siwezi , sio kwa muda huu..” “Wewe usifanye hivyo ..” …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next