Aliomba Kwanza dawa zake mzee huyo alikuwa anahema sana alikumbushiwa jambo ambalo hakuwahi kuhitaji kulikumbuka kwenye maisha yake yote, alikumbuka namna alivyo hangaika kutafuta namna ya kupata mtoto wa kike kwa miaka mingi sana,Mungu huwa hamtupi mja wake alikuja kumpa zawadi hiyo kwa baadae akamtunuku mtoto huyo jina la SEKELAGA ndiye alikuwa binti pekee na mtoto wa mwisho kwenye familia hiyo, alikuwa ni …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments