Edna alijikuta akiinua mguu wake wa kulia na kisha kumpiga teke Roma kwa hasira.
“Umeufanya moyo wangu kuumia kwa kujua kabisa unakwenda kufa , kama ilikuwa mpango kwanini hukuniambia hata kwa ishara, ulikuwa ukifurahia mimi kulia mbele yako au ndio kinilipizia kisasi?”
“Sikuwa na chaguzi nilitakiwa kumfanya aniamini kwa namna yoyote ile , ilitakiwa aamini kweli ninakufa kwa kuona machozi yako, ningekutarifu angeshitukia …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments