Roma alipatwa na mshangao baada ya kusikia miliki za kijini lakini hakuonyesha mshangao wake waziwazi , alitaka kumpa nafasi Rufi kuelezea kila kitu.
Upande mwingine Edna alionyesha kushangaa mara baada ya kusikia kuhusu miliki za kijini , hakuelewa Rufi alikuwa akitaka kumaanisha nini.
Kwa maelezo ya Rufi ni kwamba amezaliwa katika miliki ya kijini ifahamikayo kwa jina la Kekexil, anasema miliki ya Kekexil …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments