Reader Settings

Roma hakuwa na maandalizi makubwa na swala la kumuoa Edna kwa ndoa sio swala ambalo alifikiria sana , kwani sio kama walikuwa wachumba bali ni wanandoa tayari na kinachofanyika ni kama kuthibitisha ndoa yao mbele ya mashahidi tu.

Ndoa ilipangwa kufanyika tarehe kumi na nne ya mwezi wa nne tarkibani siku kumi na tano zinazofuatia.

Ni siku ya tano tokea Roma amwambie Edna …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next