Reader Settings

“Hubby kwanini kuna visiwa vingi vidogo vidogo , Je Visiwa vya wafu ni kama Archipellago?”

Archiellago ni mkusanyiko wa visiwa vingi sana ni kama ilivyo kwa nchi ya Ugiriki.

“Unaweza kusema hivyo, ndio maana jina ni Visiwa na sio Kisiwa, harusi yetu itafanyikia kwenye kisiwa kikubwa zaidi , makao makuu”Aliongea Roma mara baada ya kuchungulia nje.

Baada ya muda kidogo walipewa taarifa …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next