“Mnaweza pia kushangaa inawezekanaje bwana harusi akawa Emcee wa harusi yake mwenyewe, ukweli hata mimi mwenyewe sijui. kikawaida Emcee kazi yake ni kuongoza mtiririko wa matukio ya sherehe, lakini hio si inaamaanisha natakiwa kumsikiliza mtu mwingine, sio kwamba sipendi lakini hakuna mtu ambaye nimeona anafaa kuingoza hivyo nitaongoza mwenyewe”.
Ashley alitakiwa kuongoza kama Emcee, lakini alikosa kujiamini kwani hakuwahi kufanya hivyo na ndio maana …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments