SEHEMU YA 481.
Edna ilionyesha hakulala tokea walivyotoka visiwa vya wafu maana alipitiwa na usingizi akiwa ndani ya ofisi kwanzia saa kumi na moja mara baada ya shughuli pevu.
Ilibidi Roma ampatie maagizo Recho aliekuwa akisubiria nje aende nyumbani na yeye angeondoka nae, Recho hakufikiria mara mbili mbili na kuondoka.
Recho tokea siku afanye mapenzi na Roma ile nuksi ilimpotea na kwa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments