Reader Settings

SEHEMU YA 491.

ROME – ITALY- Miezi miwili iliopita.

Ni miezi miwili iliopita mashariki mwa jiji la Rome katika moja ya jengo la makumbusho ya kitaifa usiku wa saa mbili na nusu kwenda tatu kulikuwa na kikao cha watu wazito.

Ni watu wazito haswa kutokana na itifaki za ki usalama ambazo zilikuwa zimekwisha kuchukuliwa , jengo hilo lilikuwa kikitumika kama la makumbusho

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 8 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next