SEHEMU YA 501.
Siku iliofuata kila mmoja alibeba begi lake na safari ikaanza rasmi , kabla ya kuondoka Roma alibeba makaa ya kuni zilizoungua na kuweka kwenye begi lake na kumfanya Mage kushangazwa na jambo hilo.
“Hubby si utachoka sana , kwanini unabeba hayo makaa , tunaweza kutokuwa na chakula lakini kuwasha moto njiani ni rahisi kwani tuna kiberiti”..
Tokea waanze safari alikuwa hajazoea kumwita …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments