Mheshimiwa raisi alitoka hiyo sehemu na kuanza kuondoka hakuwa na kingine cha kusubiri tena
"Wanaonekana hawajui kitu chochote kile kinacho endelea na huenda wakaingia kwenye hatari kubwa sana fanya kila unalo liweza hakikisha unawatoa hapa mapema sana najua watajulikana muda sio mrefu hilo litakuwa tatizo kubwa kwa upande wao lakini pia nahitaji uchimbe kwa undani uniletee taarifa za kutosha kuhusiana na huyo …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments