SEHEMU YA 522.
Siku iliofuata hali ya Park Juan ilionekana kuimarika na alikuwa kwenye hali nzuri ya kuweza kuongea na kila mtu aliemtembelea.
Asubuhi hio wanafamilia karibia wote walifika hospitali hapo kumjulia hali lakini pia kujua hatima ya matibabu yake kwani kama ni moyo wa kupandikizwa ulishapatikana.
Edna na Roma pia walihudhuria asubuhi hio wakiwa wamemsindikiza Yezi, upande wa wanafamilai wengine walikuwepo wote kasoro YoonHee …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments