SEHEMU YA 542.
Yule mjumbe mara baada ya kukubaliana na Roma aliamua kuondoka , huku mpango ukiwa ni kesho kurudi kumwangalia Rose kama bado yupo ili amchukue na kumpeleka katika jamii za kijini kulingana na sheria.
“Hubby unapanga kweli kunipeleka nje ya nchi?”Aliuliza Rose kwa wasiwasi.
“Sina mpango wa kukupeleka nje , nimemtega tu nina mpango nauwazia kichwani”Aliongea Roma na kumfanya Rose kutabasamu baada ya …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments