SEHEMU YA 571.
Katika jiji la Palermo giza tayari lilikuwa lishatawala na katika uwanja wa kivita uliokuwa ukifanyia mashindano , ulikuwa mtupu kwa wakati huo ikimaanisha kwamba mashindano kwa siku hio yamesha mpaka siku inayofuata.
Katika siku hio ya kwanza hakukua na maajabu makubwa kwani wale wanajeshi kutoka mashindano yaliopita wote kwa pamoja wameweza kuingia raundi inayofuata na kwa wale wahudhuriaji wenyewe wanasema mapigano yenyewe …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments