SEHEMU YA 583.
Upande wa Zoo ya Mkwawa ambayo ipo upande wa kusini mwa mji wa Iringa Roma na Edna walikuwa washatoka kwenye gari na kuanza kutembea kufuata njia ambayo inawapeleka moja kwa moja kuingia kwenye Zoo hio huku wakiwa wamemuweka Lanlan katikati wakiwa wote wamemshika mikono upande upande.
Edna alikuwa amevalia miwani ya jua na kofia ya Hat ili kufanya watu wasimfahamu kwa haraka …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments