Reader Settings

HAZWA GEREZANI

"Alikuwa kwenye dakika zake za mwisho za kuendelea kujihesabia kama binadamu ambaye bado alikuwa yupo hai, gari aliyokuwa amepanda ilipinduka vibaya na kwenda kujibamiza kwenye mti na kuanza kuvuja mafuta, mara ya mwisho kuongea alitamka kauli moja tu kwamba I'm dying simu ilibaki kuwa hewani muda wote. Zilipita dakika arobaini na tano tu wakati gari hiyo inaanza kuwaka moto alitokea mwanaume …

Mchangie mwandishi kwa kuifungua na sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next