Reader Settings

SEHEMU YA 681.

Kila mtu alishangazwa na kauli ya Clark na waliishia kumwangalia Eujung kwa mshangao mkubwa kana kwamba alikuwa akitegemea hilo , Eujung aliishia kung’ata lips zake za chini na kisha akainamisha kichwa chake chini bila ya kuongea neno.

Muda huo wageni wote walijikuta wakipatwa na ahueni kutokana na kwamba hawakuwa watuhumiwa tena kwasababu muhusika amekamatika.

“Inawezekanaje ,…. Kwanini awe ni Eujung?”Park Juan alijikuta …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 6 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next