SEHEMU YA 721.
Kama Roma angeweza kufananisha uwezo wa Jini Anjiu na Bi Tigola basi uwezo wa Tigola ungekuwa ni kama maji yaliojazwa nusu kipimo kwenye glass huku Jini Anjiu uwezo wake ni glass iliojaa maji mpaka pomoni na kuanza kumwagika, ni uwezo ambao ulikuwa nje ya matarajio yake.
Kwa haraka haraka Roma alijua pengine Anjiu ni jini pekee ambaye anaweza kuingia katika mzunguko tisa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments