Reader Settings

SEHEMU YA 772.

Roma alikuwa ashapanga kumsamehe Anjjiu kutokana na kwamba alikuwa na mahusiano na Master yake Magdaena lakini ilitegemeana na Anjiu mwenyewe kama atakuwa tayari kujali maswala yake na aachane na yeye.

Roma hakuwa na mpango wa kuamini maneno ya Anjiu moja kwa moja na alitaka kutafuta namna ya kuhakikisha nia yake akishafka huko.

Ijapokuwa alikuwa ameikumbika familia yake sana , lakini aliona ngoja …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 35 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua