Reader Settings

Mara baada ya Hamza kuona jambo hilo la kuongezeka kwa nguvu za Mr Black, alijikuta akishangaa.
Alikuwa akielewa sanaa hiyo ya uwezo wa kinishati ilitokana na muunganiko wa stadi mbalimbali za mafunzo ya mapigano kutoka kwenye kambi tofauti tofauti duniani.
Mbinu hiyo ya kujifunza stadi mbalimbali humuwezesha mpiganaji kuimarisha nguvu zake za kiroho kwa kiasi kikubwa, na matokeo yake, nishati za mbingu na ardhi hujikusanya kwa wingi …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next