TABATA TANZANIA
Kilicho mshtua na kumshangaza sana Jiti Maalimu sio kwa sababu watu hao walifanikiwa kumjua yeye kama usalama wa taifa wala kuhitaji taarifa fulani alijua wazi vigogo wengi huwa wanawapenyeza watu wao ili kujinufaisha wao wenyewe hususani wanapo hitaji kufanya mambo yao ya siri bila kushtukiwa na mtu yeyote huwa wanawatumia sana watu hao ambao wengi kwao pesa huwa ni kipaumbele kikubwa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments