Reader Settings

Kwa mlipuko ule, wanajeshi waliokuwa wamejipanga karibu na mlango wote walilipuliwa na kurushiwa mbali na presha ya mabomu.
Eliza, aliyekuwa nyuma ya Hamza, alijikuta akipigwa na mshituko mkubwa mno huku mapigo ya moyo yakipanda kwa kiwango cha juu. Mwanzoni, alikuwa na wasiwasi juu ya wingi wa wanajeshi hao, lakini hakutegemea watu wa Hamza walikuwa na mabomu.

“Kwa uwezo wao huu, hawa wanajeshi hata kupewa …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next