Reader Settings

Katika moja ya makazi ya kitamaduni ndani ya Tokyo, kwenye mtaa uliokuwa na utulivu mkubwa, sauti pekee iliyokuwa ikisikika ilikuwa ile ya kumiminika kwa maji kupitia kwenye tanki lenye bomba la muanzi.

Ijapokuwa eneo hilo lilikuwa la kitamaduni, ilikuwa ni hoteli ya gharama ya juu sana ndani ya jiji la Tokyo. Ukiishi ndani ya hoteli hiyo ni kama unapewa nyumba yenye uwanja wako mwenyewe, na …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next