Mida ya Asubuhi na mapema Jason alionekana ndani ya uwanja mkubwa sana wa ndege ndani ya nchi ya Kenya KENYATTA AIRPORT, hakukaa sana aliingia kwenye ndege ambayo ilikuwa inaelekea ndani ya taifa pendwa zaidi Afrika Tanzania amani imetawala sana ndani ya nchi hiyo, mwanaume alipanda kwenye ndege hiyo maana hakukaa sana hapo ilionyesha wazi kwamba kila kitu kilikuwa kimeandaliwa tayari kwa ajili yake na ilionekana …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments