Baada ya sekunde kadhaa za kuhesabu Qader alikurupuka kutoka kwenye usingizi mzito mbele yake bado mwanaume huyo alikuwa amesimama vile vile alimwangalia kwa hofu sana mwanaume huyo aliinama pale Qader alipokuwa amekaa aliinama kidogo na kuonyesha masikitiko, sura yake Qader hakuwahi kuiona kwenye maisha yake yote wala hakuwahi kuisikia stori ya mtu wa aina hiyo kwenye maisha yake yote ilimshtua baada ya kuona …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments