Jason kitu alicho kiona baada ya kuuona mwili wa kaka yake kilimfanya aume meno kwa hasira sana, aliuangalia kwa dakika kumi bila kukwepesha macho yake, mwili huo ulikuwa na tobo la risasi kwenye paji la uso wa kaka yake, alisogelea sehemu ambapo lilikuwa limeandikwa jina la shemeji yake napo aliangalia kwa umakini sana na kuona kitu kile kile risasi ilipita kwenye paji la uso, alikumbuka …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments