Ndani ya dakika thelathini na tano mheshimiwa IGP alikuwa anaingia getini kwa CDF gari yake ilikuwa inajulikana sana hivyo alifufuliwa geti bila wasiwasi, baada ya kushuka alinyoosha moja kwa moja mpaka sehemu ya nyuma ya nyumba hiyo, alikuja mwanamke mmoja mzuri sana ambaye alimletea kahawa ambayo ndiyo ilikuwa kitu pendwa saa kwa mzee huyo kisha akampa maelekezo kwamba mtu huyo alikuwa hayupo wakati anampigia simu …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments