Majira ya saa 2 za usiku tax ilikuwa inapaki maeneo ya Mbagala kwa Zizi Ally, alishuka Jason na kulipia pesa kwa huyo dereva na kumshukuru kwa kumfikisha salama, hakusahau kumshukuru mwenyezi MUNGU kwa kuweza kumfikisha salama ndani ya hilo eneo, aliitoa simu yake na kuangalia kwa umakini aliangalia namba ya nyumba ambayo alikuwa ameelekezwa akatingisha kichwa kuonyesha kwamba alikuwa anakubaliana na hicho kitu. Mbele yake …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments