“Nimesema kwamba una uhakika gani kwamba hao wenzako hawana hizo taarifa?”
“Hawana hawana nina uhakika wa asilimia miamoja”
“Hapo ndipo wanadamu mnapofeli sana, muogope sana mtu ambaye anajifanya mjinga mbele ya uso wako halafu nawewe unakubali kwamba huyu ndiye mjinga halafu yeye anakufanya uamini hivyo kumbe wewe ndiye mjinga, wanadamu ndivyo wanavyo ishi sasa hilo ni jambo la kutisha sana kama ndugu yenu aliamua kuwaficha …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments