“You can dance”
“You can jive”
“Having the time of your life”
“This is the rhythm of the night”
Utulivu wa akili ulikuwa amemzamisha mbali sana na hiyo ndiyo mistari mitamu sana ambayo ilikuwa inajirudia sana kwenye kichwa chake, hakutamani siku hiyo kama ingekuwa imeisha kwenye kichwa chake ni miongoni mwa siku ambazo yeye alijifungia rasmi kwenye dunia ya mapenzi, ni siku ambayo yeye na …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments