Reader Settings

TUNAENDELEA NA SIMULIZI YA GEREZANI

Aariz alitoka ndani ya hiyo nyumba yasiri kinyonge sana alinyong'onyea mno hakuelewa nini kilikuwa kinaendelea kwenye maisha yake Kila akimaliza mtihani huu basi ilikuwa ni lazima akutane na mtihani mwingine mpaka muda huo hakuijua kabisa historia ya maisha yake na hakuwahi kuulizia hata siku moja. Kulikuwa kunakaribia kupambazuka aliingia ndani kwake akiwa Hana amani hakutaka mkewe amshtukie kwamba …

Mchangie mwandishi kwa kuifungua na sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next