Siku ilikuwa ni ndefu sana lakini hatimaye ilikuwa imeisha, mazishi yalifanyika kwa amani sana, ndugu wa marehemu na wahusika wote walipewa maelekezo kwamba walikuwa wanahitajika Kwenda Ikulu baada ya hayo mazishi kuweza kufanyika ili wakapate pole za dhati kutoka kwa raisi mpya ambaye alikuwa ameapishwa siku hiyo ndani ya nchi ya Tanzania. Jason alikuwa kwenye suti moja nyeusi ambayo ilikuwa imempendeza sana lakini sura yake …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments