Jason baada ya kufika nje ya Ikulu, kulikuwa na gari moja ya bei ghali sana yenye namba za Ikulu ilikuwa ikimsubiri yeye ili impeleke mahali ambapo alitakiwa Kwenda kupumzika usiku wa siku hiyo, aliingia humo ndani ambamo kulikuwa na dereva mmoja tu ila hakuwa tu dereva alikuwa ni komando ambaye alipewa kazi ya kuhakikisha anamfikisha mwanaume huyo salama sehemu yoyote ambayo angetakiwa Kwenda kwa muda …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments