Reader Settings

Warren alinyanyuka kwa bashasha lilio changanyikana na hofu kidogo nakuwapa ishara Lorretta na Liam kusimama. "Ah asante tuongoze tafadhari.”

Naila hakumjibu. Badala yake, aligeuka kwa taratibu bila hata kumwangalia tena, akaanza kutembea mbele yao kwa hatua zenye nidhamu. Warren na Lorretta walimfuata kwa ukimya, huku liam akiwa nyuma yao, akipunguza mwendo taratibu kama mtu aliyegundua hali ya baridi isiyo ya kawaida kutoka kwa Naila. Na …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next