Chanzo ni Yeye
Sehemu ya 21
Na. Machokulenga TZ
0623238283
Jua lilianza kuchomoza kwa unyonge juu ya mji wa Dar es Salaam, likitupa rangi ya shaba kwenye dari ya anga. Mitaa ya Kariakoo, Buguruni, mpaka Mbagala, ilianza kuamka kwa kelele za kawaida—magari ya daladala yakipiga honi, wauzaji wa matunda wakipaza sauti zao, na milio ya redio kutoka kwenye vibanda vya chai.
Lakini ndani ya jengo …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments