Chanzo ni Yeye
Sehemu ya 22
Na. Machokulenga TZ
0623238283
Usiku wa Dar es Salaam ulikuwa umetulia, lakini ndani ya moyo wa Ayubu, mawimbi ya maswali na wasiwasi yalivuma kwa nguvu. Aliamua kutekeleza alichotakiwa. Njia ya kuelekea kwenye jengo la zamani la Posta ilikuwa ndefu na hatari, lakini hakuwa na uchaguzi.
Alitembea kupitia mitaa ya Kivukoni, akipita karibu na Bandari ambapo malori ya mizigo yaliendelea …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments