Chanzo ni Yeye
Sehemu ya 23
Na. Machokulenga TZ
0623238283
Saa 9 alfajiri, Dar es Salaam ilianza kuamka polepole, lakini ndani ya moyo wa Ayubu, kulikuwa na mapambano makali ya hisia na maswali. Alikuwa akitembea taratibu kuelekea Magogoni, eneo ambalo lina mizizi mikubwa ya historia na siri nyingi zilizofichwa kwenye mawimbi ya bahari na majengo ya kale.
Magogoni haikuwa sehemu ya kawaida kwa mtu yeyote …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments