Chanzo ni Yeye
Sehemu ya 24
Na. Machokulenga TZ
0623238283
Katika giza la handaki hilo, Ayubu na Mlinzi wa Mwanga walikuwa wakikimbia kwa kasi, wakivuka vizuizi vya zamani vya chuma na vumbi lililojaa angani. Hatua zao zilikuwa za haraka lakini za tahadhari, wakijua kwamba maadui hawakuwa mbali.
Baada ya mwendo wa dakika ishirini, walifika kwenye chumba kidogo cha chini ya ardhi kilichojaa vifaa vya teknolojia …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments