Chanzo ni Yeye
Sehemu ya 25
Na. Machokulenga TZ
0623238283
Usiku ulipokaribia, Dar es Salaam ilianza kupoa taratibu. Ayubu alikuwa ameketi kwenye kona ya chumba kidogo cha mafichoni akitafakari mazungumzo ya siku nzima. Mzee Solo alikuwa bado kimya, akimtazama kwa macho yaliyobeba siri nyingi. Mlinzi wa Mwanga, kwa upande mwingine, alikuwa akiandaa vifaa vya usiku huo kama kwamba alikuwa tayari kwa lolote litakalotokea.
Ayubu alihisi …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments