MIMI NA MIMI 3
A Story by Elton Tonny
Familia, Urafiki, Mapenzi, Kazi, Siri, Tamaa, Hila, Usaliti, Ukatili, Mauaji, Mambo Yasiyotazamiwa
R-rated 18+
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA AROBAINI NA MOJA
★★★★★★★★★★★★★★★★★★★
"Doctor!"
Mama Trisha kuniita hivyo kukafanya nikatishe utizami wangu kumwelekea Tamiah, wakati huo bado nilikuwa namfikiria sana. Nikamshika tu Vera mwilini nikisaidizana na Batundui, nasi tukambeba kwa uangalifu na kuanza kumpeleka kule nje. …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments