TANZANIA
Qader aliamka mchana wa jua kali baada ya kuhisi joto kali sana kwenye mwili wake, nguo zote zilikuwa zimelowa kwa jasho ambalo lilikuwa likimtoka kama maji, kichwa kilikuwa kinamuuma sana mpaka muda huo alitamani aendelee kulala ila hali ya ndani ya chumba hicho iliendelea kumsaliti sana hakuweza kuvumilia alisimama na kutulia. Kumbukumbu zilipita mbele ya ubongo wake alikumbuka vyema usiku wa jana …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments