Reader Settings

Hamza aliishia kuvuta pumzi za masikitiko, akijua haina maana ya kumshawishi Berly kufuata nyayo zake. Hata hivyo, alimkubali Berly kwa sababu akimpa kazi, alikuwa akiifanya ipasavyo.

Muda mchache baadaye, alionekana Eliza akirudi kutoka kazini. Mara tu mwanamke huyo alipofika, alivua viatu vyake na koti la suti.

“Hubby, bora nisiishi hapa Japani. Kufanya kazi ndani ya hii nchi kunachosha mno,” aliongea Eliza, ambaye akili yake ilikuwa …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next