MIMI NA MIMI 3
A Story by Elton Tonny
Familia, Urafiki, Mapenzi, Kazi, Siri, Tamaa, Hila, Usaliti, Ukatili, Mauaji, Mambo Yasiyotazamiwa
R-rated 18+
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA AROBAINI NA MBILI
★★★★★★★★★★★★★★★★★★★
Tamiah akasema, "Hamna kitu dada. Samahani..."
"Sijakwambia uombe samahani, nimekwambia ujibu. Kwa nini nakuuliza swali halafu umwangalie JC?" Bertha akauliza kimkazo.
Fodiah, Bhavin na Valentiana wakanitazama kwa namna iliyoonyesha kutatizika na jambo hili, …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments